Naupenda sana wimbo Nibebe wa Aslay, nikiusikia nalegea kabisa

Naupenda sana wimbo Nibebe wa Aslay, nikiusikia nalegea kabisa



Hii nyimbo naipenda maneno yake miye na beats zake ikiimbwa yaani ntatikisika hata kidogo

Natulia kama nanyolewa naipenda sana!

Moyo wangu wapoaa ikipigwa yaani nalegea kabisaa!
Nimekuja mbio nikajua umemfungulia mtu thired na wimbo juu lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mm tena jamani sio madame
Besttiiiii[emoji23] [emoji4] [emoji5] [emoji5] [emoji13] [emoji13]nambie vizurii!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom