bibi Shunie ya kweli hayaWewe yako ina uthibitisho kutoka ulio hai
Naomba nikubebe.Kaaah
Sitakudondosha, na hutajuta kubebwa.Akuuuu
Mm tena jamani sio madamebibi Shunie ya kweli haya
Muite madamde[emoji4] [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji6] [emoji6] [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji4] [emoji4]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ukifanya utani kizazi pembeniii
Nimekuja mbio nikajua umemfungulia mtu thired na wimbo juu lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii nyimbo naipenda maneno yake miye na beats zake ikiimbwa yaani ntatikisika hata kidogo
Natulia kama nanyolewa naipenda sana!
Moyo wangu wapoaa ikipigwa yaani nalegea kabisaa!
hahahaha muacheni banaMuite madamde[emoji4] [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji6] [emoji6] [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji4] [emoji4]
Hujapata tu wa kukudondokea humu? Masikhara hayo ujue[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nnae bassiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hataki kubebishwa jamani[emoji23] [emoji23] [emoji23] hataki drama
bibi mbea wewe ndio maana nimekutagMm tena jamani sio madame