ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Radack Chasambi alionekana kutoa maoni yake juu ya mchezaji kioo kwenye ligi, Yeye Kwa mtazamo wake aliamua kumtaja Maxi Nzengeli kuwa ni mchezaji anayemvumtia na ana mtazama kama kioo na kufata nyendo zake
Baada zilizo hoja kutoka Kwa wachambuzi na baadhi ya members humu Jamii forums wakiongozwa na Mwasibu fake
Uongozi wa Simba wameonyesha professional Kwa kumtia moyo kijana na Leo amesafiri na timu kwenda Tunisia,
Naupongeza uongozi na bench la ufundi la Simba Kwa kusimamia professional yao
Mpira ni mchezo wa kiungwana sio uadui, uadui wa mpira ni dakika 90 uwanjani, mchezo ukiisha laZima maisha yarejee kama kawaida
Mchezaji kutoa maoni yake juu ya mchezaji anayemkubali siyo dhambi,
Ganancho ni Muargentina na anacheza timu Moja na Mesi lakini yeye aliweka wazi kuvutiwa na Ronaldo.
Mpabbe akiwa PSG aliweka wazi kuwa role model wake ni Ronaldo
Rooney na Rio wamecheza na Ronaldo ila Huwa wanamsifia Mesi