Ghost
JF-Expert Member
- Apr 20, 2010
- 428
- 53
Ukumbuke pale pembeni kuna ofisi ya chama ambayo imejengwa kwa msaada wa huyu jamaa wa Naura, na ujenzi ulienda sambamba.
Kweli kabisa.. Hii inamananisha - this building can't be touched!! Cjui huo anaongea niniSio rahisi ikabomolewa kwani mwenye hoteli alijenga Ofisi ya CCM pale Sanawari.