Naura spring hotel (Arusha) kubomolewa?

Ukumbuke pale pembeni kuna ofisi ya chama ambayo imejengwa kwa msaada wa huyu jamaa wa Naura, na ujenzi ulienda sambamba.

Sio rahisi ikabomolewa kwani mwenye hoteli alijenga Ofisi ya CCM pale Sanawari.
Kweli kabisa.. Hii inamananisha - this building can't be touched!! Cjui huo anaongea nini
 
Kama wanatakakubomoa Naura Springs Hotel basi wabomoe na nyumba zote zilizopo barabara ya AICC na nyumba za polisi pamoja na CEDHA hapo ndipo watakuwa wametenda haki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…