Nausoma mchezo !

Nausoma mchezo !

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Heshima kubwa sana mbele yenu wakuu , nimeingia bila hodi na nilikuwa kimyaa ! Nilikuwa nausoma mchezo , Shortly nimekuja ku add value ya Jf , nipokeeni .
 
Erythrocyte, karibu, ukisha usoma mchezo, basi njoo na tathmini yako ya kina, na si ya kitoto mkuu, kumbuka hapa ni JF, vigezo na masharti kuzingatiwa!
 
Karibu JF, Great Thinker, Huku hakuna Ndio Mzee, Hakuna Vichwa vya Panzi, Ukubali Majibu yote yote
Source Muhimu, Heeeeheee I love JF aka Great Thinker !!!!

Heshima kubwa sana mbele yenu wakuu , nimeingia bila hodi na nilikuwa kimyaa ! Nilikuwa nausoma mchezo , Shortly nimekuja ku add value ya Jf , nipokeeni .
 
Heshima kubwa sana mbele yenu wakuu , nimeingia bila hodi na nilikuwa kimyaa ! Nilikuwa nausoma mchezo , Shortly nimekuja ku add value ya Jf , nipokeeni .
Usiwe mchezo wa baba na mama,krb.
 
Back
Top Bottom