Ndondocha mkuu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 2,490
- 2,965
[Emoji23][emoji23] [emoji23] ile aliyotoa na drake,wanaijeria walimtolea povu kinoma.....kitendo cha drake kutoonekana kwenye video!halafu zote mbaya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ( kwa mtazamo wangu lakini)
Tekno ni producer anatengeneza nyimbo zake mwenyeweTekno ana nyimbo 7 ndani ya miezi 2 sa sijui management yake haioni kua ni tatizo.. Alafu zote melody zinafanana
Mkoolomije tulia itakufikia tu mwakan sio mbalihizo nyimbo mnazozitaja mbona sizijui jamani au mimi niko wapi
Mkoolomije tulia itakufikia tu mwakan sio mbalihizo nyimbo mnazozitaja mbona sizijui jamani au mimi niko wapi
mkuu kama unayo hebu I upload.Sasa hivi ni psquare tu- No body ugly
Mkuu umesahau kuwa mganga hajigangi.Tabilia na wewe mafanikio yko stunter
Sikumaanisha hayo,kuna watu wa kuwatabilia makubwa kama wakina chinbeez ila tecno yan huyoo ata hana haja ya kutabiliwaa coz yan makubwaa kwakee normal au unataka kusema itaingia billboard chart 100 ?