Nautabiria mafanikio Wimbo mpya wa Tekno-Be

Nautabiria mafanikio Wimbo mpya wa Tekno-Be

kwa west afrcaa namkubali sana huyu
 
Attachments

  • Screenshot_20170401-231800.png
    Screenshot_20170401-231800.png
    246.5 KB · Views: 38
halafu zote mbaya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ( kwa mtazamo wangu lakini)
[Emoji23][emoji23] [emoji23] ile aliyotoa na drake,wanaijeria walimtolea povu kinoma.....kitendo cha drake kutoonekana kwenye video!
Kusoma zile comments nikajua kumbe sio wabongo tu wanaotukana mitandaoni!
 
Tekno ana nyimbo 7 ndani ya miezi 2 sa sijui management yake haioni kua ni tatizo.. Alafu zote melody zinafanana
 
Nymbo ya kawaida sana....nmepoteza mb mara 10 nckilize ngoma mpya ya psquare
 
Nyimbo sio nzuri kwa kweli kama Rara au Yawa. Sijaipenda kwa kweli bit sio kabisa
 
Huyu kijana mbona kila siku anaachia nyimbo mpya kwani anaogopa nn?
 
Tekno alifanya kazi kwenye Duro, Where, Pana, Diana, Wash. Hizi nyimbo anazoachia sasa naona kama kelele
 
kuna watu wa kuwatabilia makubwa kama wakina chinbeez ila tecno yan huyoo ata hana haja ya kutabiliwaa coz yan makubwaa kwakee normal au unataka kusema itaingia billboard chart 100 ?
 
kuna watu wa kuwatabilia makubwa kama wakina chinbeez ila tecno yan huyoo ata hana haja ya kutabiliwaa coz yan makubwaa kwakee normal au unataka kusema itaingia billboard chart 100 ?
Sikumaanisha hayo,
nilimaanisha wimbo kufanya vizuri na kumrudisha kwenye chati ikiwemo wimbo wake kuwa wimbo wa taifa..
 
Back
Top Bottom