Nautafuta huu wimbo

Nautafuta huu wimbo

How, nielekeze tasavali
Iko automatic.

ni feature tu ambayo wameweka wenyewe google pixel,sijadownload App yoyote mkuu.

Nyimbo ikipigwa hata kwenye bodaboda au daladala ,ukiangalia display ya simu inakuonyesha Nyimbo inayoplay. Hata ukiangalia movie pia,simu inakuonyesha zile Nyimbo zinazoplay kwenye background.

So ,usiku Huwa naangalia simu yangu nakuta imenitengenezea playlist ya Nyimbo zote na muda ili+detect Kila mahali nilipopita.
 
Aisee nasubiri msaada kama navyomsubiria demu aje geto
 
Chai yako chungu heri hata ya muarobaini
Nidanganye kwa kitu kidogo kama hiki mkuu kwa faida gani.

Angalia hii playlist nimescreen short na muda ambao simu ili detect hizo nyimbo. Kuna Nyimbo hata sizijui.
Screenshot_20240517-213809.png
Screenshot_20240517-213809.png
 
Iko automatic.

ni feature tu ambayo wameweka wenyewe google pixel,sijadownload App yoyote mkuu.

Nyimbo ikipigwa hata kwenye bodaboda au daladala ,ukiangalia display ya simu inakuonyesha Nyimbo inayoplay. Hata ukiangalia movie pia,simu inakuonyesha zile Nyimbo zinazoplay kwenye background.

So ,usiku Huwa naangalia simu yangu nakuta imenitengenezea playlist ya Nyimbo zote na muda ili+detect Kila mahali nilipopita.
Hii nzuri, nitaichunguza vizuri nione
 
Nitaupata tu hata kwa kumcharaza mtu bakora
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]

We jamaa umenichekesha Sana we utakua mkurya si Kwa ubabe huo...
Anyway sijui kama umeupata ila huo wimbo ni Appy tz... Unaitwa Watu Feki ..

"Siku mbili zimepita sijakula... Nina stress ..."
 
Wanaujua huo wimbo ila wana vichwa vigumu kutoa miongozo nilipoanza kucharaza bakora mmoja baada ya mwingine nikaanza kupata majibu
 
Utaķufa na njaa msibani watakula pilau? Manina naenda kufata kuku muda huu.

Siku nikifa kitu sitojuta ni kula chakula chochote ninacho kitaka hii nimeitimiza nikiwa hai, kuku michemsho samaki nimewapiga staki majuto mbinguni hakuna hotel.
 
Back
Top Bottom