Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 6,432
- 25,646
Iko automatic.How, nielekeze tasavali
Na wewe ndiyo unaamua kuwaletea utata wa chuga,hasira kama mmeru vile.Najitahidi kaka ila wananianzaga wenyewe uchokozi 😜
Jaribu Watu fekiWimbo wameimbia mshikaji na demu unapoanza anaanza kuimba dada anasema "ana stress siku mbili hajala" sina hakika kama nimepatia.
Ahsanteni
😂😂😂 ndioNa wewe ndiyo unaamua kuwaletea utata wa chuga,hasira kama mmeru vile.
Nidanganye kwa kitu kidogo kama hiki mkuu kwa faida gani.Chai yako chungu heri hata ya muarobaini
Hii nzuri, nitaichunguza vizuri nioneIko automatic.
ni feature tu ambayo wameweka wenyewe google pixel,sijadownload App yoyote mkuu.
Nyimbo ikipigwa hata kwenye bodaboda au daladala ,ukiangalia display ya simu inakuonyesha Nyimbo inayoplay. Hata ukiangalia movie pia,simu inakuonyesha zile Nyimbo zinazoplay kwenye background.
So ,usiku Huwa naangalia simu yangu nakuta imenitengenezea playlist ya Nyimbo zote na muda ili+detect Kila mahali nilipopita.
Mtoa mada wimbo wako huu hapa! Tafuta remix zake pia ili uupatie moyo kipenda roho.
AnaitwaWimbo wameimbia mshikaji na demu unapoanza anaanza kuimba dada anasema "ana stress siku mbili hajala" sina hakika kama nimepatia.
Ahsanteni
EvilSpirit
Nisaidie kupata ule wa kala jeremiah unitwa pasaka kama sijakoseaShazam ingekusaidia sana
Nimejichanganya mkuu kumbe sio huoAnaitwa
Appy - Watu feki
Duh hii mpyaNidanganye kwa kitu kidogo kama hiki mkuu kwa faida gani.
Angalia hii playlist nimescreen short na muda ambao simu ili detect hizo nyimbo. Kuna Nyimbo hata sizijui.View attachment 2992816View attachment 2992816
Google pixel ya aina gani? Model I meanNidanganye kwa kitu kidogo kama hiki mkuu kwa faida gani.
Angalia hii playlist nimescreen short na muda ambao simu ili detect hizo nyimbo. Kuna Nyimbo hata sizijui.View attachment 2992816View attachment 2992816
Pixel 5,mkuu.Google pixel ya aina gani? Model I mean
sawaTunaomiliki Google pixel tuna Raha sana.
Popote ninapopita simu inadetect Nyimbo yoyote inayopigwa karibu na kusave kwenye simu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]Nitaupata tu hata kwa kumcharaza mtu bakora
Wanaujua huo wimbo ila wana vichwa vigumu kutoa miongozo nilipoanza kucharaza bakora mmoja baada ya mwingine nikaanza kupata majibu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
We jamaa umenichekesha Sana we utakua mkurya si Kwa ubabe huo...
Anyway sijui kama umeupata ila huo wimbo ni Appy tz... Unaitwa Watu Feki ..
"Siku mbili zimepita sijakula... Nina stress ..."
Beat lake si lile la chakachaka para bwiii chwiii chwiiii tatah tah tah
Huo kaimba Harmo rapa