guwe_la_manga
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 2,820
- 2,758
Unazungumzia wimbo wa 20 percent jamaa aliimba money money money umesababisha nikutoroke..... .. maisha ya bongo nkWakuu kwema?
Kuna msanii wa reggae mbongo jina limenitoka
Aliimba nyimbo nyingi ila ninayoikumbuka sana ni ile ya Money Money Pesa
Nyimbo hii iliimbwa miaka ya tisini
Kwa anayemjua msanii na mwenye wimbo auweke hapa
Natanguliza shukrani
nadhani innocent galinoma au justin kalikawe ndo aliimbaWakuu kwema?
Kuna msanii wa reggae mbongo jina limenitoka
Aliimba nyimbo nyingi ila ninayoikumbuka sana ni ile ya Money Money Pesa
Nyimbo hii iliimbwa miaka ya tisini
Kwa anayemjua msanii na mwenye wimbo auweke hapa
Natanguliza shukrani
mkuu huo sinaMimi natafuta wimbo wa Senzo unaitwa Dark days mwenye nao anisaidie wakuu
"usipoteze muda kutazama muda"
pamoja mkuuAisee umenikumbushaa na ile sote ni nduguuu..watoto wa ....
nashukuru sanaAliimba Justin Kalikawe alifariki mwishon mwa miaka ya 90. Utafute upooo
Sent using Jamii Forums mobile app
shukrani mkuunadhani innocent galinoma au justin kalikawe ndo aliimba
siyo huoUnazungumzia wimbo wa 20 percent jamaa aliimba money money money umesababisha nikutoroke..... .. maisha ya bongo nk
shukrani mkuuNyimbo yoyote Duniani unaipata
MP3Juices - Free MP3 Downloads
pamoja mkuu
Sio kweli,Nyimbo yoyote Duniani unaipata
MP3Juices - Free MP3 Downloads