Elections 2010 Nautakia heri Mkutano Mkuu wa Chadema kesho

Elections 2010 Nautakia heri Mkutano Mkuu wa Chadema kesho

Luteni

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
2,274
Reaction score
302
Kwa mujibu wa ratiba ya uchaguzi ya Chadema inaonyesha kesho trh. 12/8 kutafanyika Mkutano Mkuu wa chama hicho. Pamoja na mambo mengine tunategemea utampitisha mgombea wake wa urais Dr. Willibrod Slaa na mgombea mwenza Said Mzee Said.

Natumaini Regia Mtema a.k.a Gender Sensitive na members wengine wa JF mtatujuvya yatakayojili huko..............Binafsi naitakia Chadema na wapenzi wote wa Chadema mkutano mwema utakaotupitishia huenda rais wetu wa awamu ya tano.

Nategemea sura hizi hazitakosekana

9036dj.jpg


08_10_177eaa.jpg
 
Hi hautakuwa live on TBC1?

Luteni - una uhakika na huyo mgombea mwenza wako?
 
Hivi vip uchaguzi wa viti maalumu?kilitokea nini?
 
Hi hautakuwa live on TBC1?

Luteni - una uhakika na huyo mgombea mwenza wako?
Kweli Selous sina uhakika kama huyo ndiye atakuwa mgombea mwenza au vipi lakini ndiye aliyemsindikiza Slaa kuchukua fomu NEC.
 
Akina Nape wamefata nini kwenye mkutano ule? Au ndio wameiwakilisha CCM?
 
Back
Top Bottom