INAUZWA Nauza Ac portable

hanc j

Member
Joined
Jan 12, 2017
Posts
98
Reaction score
30
Ni mpya kabisa nimeitumia siku mbili tu
Horsepower ni 1.5 ina ubarid wa kutosha na matumiz madogo sana ya umeme nichek
Tigo 0718017711
Voda 0743553553
Bei ni 550000 punguf unaongea
 
Umenunua ukatumia ndani ya siku mbili tu ukaamua kuiuza, nikisema umegundua ina mapungufu nitakuwa nimekosea? Anyway hebu weka hiyo bei tujipime kama tutafika
 
Hiyo ni laki 55000 au 550,000!? Maana maelezo ni tofauti na digit
 
Ni mpya kabisa nimeitumia siku mbili tu
Horsepower ni 1.5 ina ubarid wa kutosha na matumiz madogo sana ya umeme nichek
Tigo 0718017711
Voda 0743553553
Bei ni 550000 punguf unaongea

Kitu kikishatumika au ukishakuwa nacho mkononi sio kipya tena. Ukitumia hata kwa lisaa limoja hiyo already used.

Hebu eleza Brand ya hiyo AC
 
Kitu kikishatumika au ukishakuwa nacho mkononi sio kipya tena. Ukitumia hata kwa lisaa limoja hiyo already used.

Hebu eleza Brand ya hiyo AC
Ninaitwa amcor
 
mkuu ukiwa tayari kuuza kwa 150,000 ni PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…