INAUZWA Nauza African handmade sandals

INAUZWA Nauza African handmade sandals

Abdistar

Member
Joined
Feb 26, 2019
Posts
39
Reaction score
26
AFRICAN HANDMADE SANDALS

TUNATHAMINI PESA ZA WATANZANIA KWA KUTENGENEZA SANDALS IMARA KWA ZA KIPEKEE KWA BEI POA

Bei ya jumla 10000
Rejareja 13000

Kwa MAWASILIANO ZAIDI [emoji116][emoji116][emoji116]

0657291795 WhatsApp

20201212_170702.jpeg
20201212_170420.jpeg
20201212_135840.jpeg
20201212_171137.jpeg
 
Viatu vizuri sana hongera sana tena kwa muonekano ni imara sana haviumizi kwenye kidole katikati so that wearer may feel comfort.
 
Za manyoa ziko wapi?Nimnunulie cha fujo wangu
Ndiyo Unafanya Maandalizi Ya Christmas
Tumechelewa Sana Ndugu Zangu
Tumelaliwa Sana Ndugu Zangu
Tumegongwa Sana Ndugu Zangu
😀😁😂🤣😃😄😅😅😄😃🤣😂😁😀
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
 
Unauza jumla 10000 Duh , hapo unatakiwa uuze jumla 7000 or 8000 ili wa reja reja umpe uwanja mpana wa kufanya hustling ya kutafta final consumer .... Ngoja mchina aje awaonyeshee kazi...
 
Kwel kaka lakini hivi ni vya kufuma vinatumia mda KUTENGENEZA lakin bei ya mwisho huwa tunafanya 9000 kwaanzia pear 10
 
Boss, hongera kwa kazi nzuri. Ila hapo kwenye bei sasa, wenzio hivyo tunaanza bei ya jumla n 6000 hivyo vya kike ila 7000 vya kiume.Rejareja n 10,000 vya kiume na kike 9000 had 8000 na hapo kama vyote ni ngozi tupu. Na kama n kapeti ukiweka oder bei ya jumla n 4500 na kama siyo order 5000 na rejareja n 6500.. ko jitahid uangalie competition kwenye soko pia. Alafu jitahid utengeneze vya watoto huwa ndo vinatoka zaid kuliko vingne vyote. Mtoto akililia tu lazm mama ajikunje 4000 kumridhisha🤣🤣🤣🤣, na tunawavalishaga watot makusudi ili wakat wa kumvua alilie🤣🤣 mtego huooo😆😆😆😆
Hahahaha idea nzuri pia kwa watoto
asante kaka kwa experience yako itabidi nipunguze ubora wa kazi ili niweze kuendana na hali ya kiuchumi
 
Boss, hongera kwa kazi nzuri. Ila hapo kwenye bei sasa, wenzio hivyo tunaanza bei ya jumla n 6000 hivyo vya kike ila 7000 vya kiume.Rejareja n 10,000 vya kiume na kike 9000 had 8000 na hapo kama vyote ni ngozi tupu. Na kama n kapeti ukiweka oder bei ya jumla n 4500 na kama siyo order 5000 na rejareja n 6500.. ko jitahid uangalie competition kwenye soko pia. Alafu jitahid utengeneze vya watoto huwa ndo vinatoka zaid kuliko vingne vyote. Mtoto akililia tu lazm mama ajikunje 4000 kumridhisha🤣🤣🤣🤣, na tunawavalishaga watot makusudi ili wakat wa kumvua alilie🤣🤣 mtego huooo😆😆😆😆
 
Sandals imara za kipekee home MADE kwa mawasiliano zaidi nichek what'sp +255657291795

Tunauza kwa bei ya jumla na rejareja
20210808_164910.jpg
20210808_165121.jpg
20210808_164820.jpg
IMG_20210808_192857_490.jpg
 
Back
Top Bottom