INAUZWA Nauza Air Condition, brand new kwa bei nafuu, shilingi laki tano

9000 ndogo sana tena used kuuza bei hiyo ndg
500k tunapata mpk kwa 24bt
 
Mashine sio used, haijawai tumika hata mara 1.. pia mteja sio mjinga kununua kitu bila kupeleleza bei halisi ya dukani ikoje... bei yangu ni fixed.. atakaehitaji aje.. ila haishuki hata mia
 
Kibanda changu kama kingeisha ningenunua hii.
 
Mashine sio used, haijawai tumika hata mara 1.. pia mteja sio mjinga kununua kitu bila kupeleleza bei halisi ya dukani ikoje... bei yangu ni fixed.. atakaehitaji aje.. ila haishuki hata mia

Mkuu naona una msimamo na una Jazba pia. Hongera kwa hilo.
Vipi unafanya delivery?
 
Sina jazba ndugu napenda watu waelewa . Maana juu kwenye uzi nimeandika bei ni fixed . Na sifa za mashine zote... mtu kuuliza kitu ambacho umeshaongea anakuwa mtu wa ajabu..

Hapana sifanyi delivery... ila mtu akija kuinunua kama hana usafiri, naweza msaidia usafiri kwa Yeye kuchangia mafuta
 
Back
Top Bottom