Alex Hamadi Hamis
Member
- Apr 18, 2017
- 86
- 57
Nimetumia miezi miwili tu
Iko full box
Bei: 17,5000/- TZS nimenunua 270,000/- TZS
+255676095799
Iko full box
Bei: 17,5000/- TZS nimenunua 270,000/- TZS
+255676095799
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa bei hiyo utapata mteja kweli?Nimetumia miezi miwili tu
Iko full box
Bei: 17,5000/- TZS nimenunua 270,000/- TZS
+255676095799
View attachment 3133942
Bei inazungumzika… Tell me your offerKwa bei hiyo utapata mteja kweli?
Fanya laki na ishirini mtaalamuKuna laki moja hapa
Zunguka tena mtaani uangalie bei chief.Nimetumia miezi miwili tu
Iko full box
Bei: 17,5000/- TZS nimenunua 270,000/- TZS
+255676095799
View attachment 3133942
Kila kitu mkuu, haina deni… za Airtel bila kutop up huwezi kutumia internet so there’s no way inaweza kuacha deniUnauza fuill na power bank yake? Haina deni? Maana kuna jamaa yangu aliuza ya Voda ikiwa na deni la 600,000 ikala kwa mnunuzi daah, na pia malipo ya mwezi ni ngapi ngapi na ina MBPs ngapi?
No mkuu, Nauza fullNiuzie mimi power bank yake peke yake kwa 15,000
powerbank ninayo... 20,000 nakuachia..tena m nilikuwa sio mtumiaj wa power bank..Niuzie mimi power bank yake peke yake kwa 15,000
Kifurushi nilikuwa nalipia 110k, vifurushi inategemea na MbpsZunguka tena mtaani uangalie bei chief.
Zinauzwa 110,000 na miezi inayofuata unalipa kifurushi cha 70,000 unlimited.
Nadhani ulinunua kwa bei hiyo ili ulipie kifurushi cha 70,000 kwa mwezi.
ok. kila la heri chief.Kifurushi nilikuwa nalipia 110k, vifurushi inategemea na Mbps
Ina maana unauza elfu 17 na 5,000 ?Nimetumia miezi miwili tu
Iko full box
Bei: 17,5000/- TZS nimenunua 270,000/- TZS
+255676095799
View attachment 3133942
nicheki basi mkuu 0758223393powerbank ninayo... 20,000 nakuachia..tena m nilikuwa sio mtumiaj wa power bank..
nadhani nimetumia full mara 2 tu...
Nicheki 0711707070nicheki basi mkuu 0758223393
Nimetumia miezi miwili tu
Iko full box
Bei: 17,5000/- TZS nimenunua 270,000/- TZS
+255676095799
View attachment 3133942
unaweza kuweka simu ofisini kwa ajili ya kusambaza internet?Bro, hiyo router ina nini ambacho simu yangu yenye TETHERING FEATURE haina ?
Na nadhani siku hizi simu janga/simu kubwa zote zina hiyo feature ya kurusha connection hewani.
Hiyo router ina nini cha mno ?
unaweza kuweka simu ofisini kwa ajili ya kusambaza internet?
Au Internet kwa matumizi ya nyumbani unaweza sambaza kwa simu yako?
ukiondoka hilo eneo matumizi ya internet yataendelea?
Au ukifanya mawasiliano ya kawaida internet itaendelea?
Kuna watu wanahitaji huduma ya kusambaza internet kwenye vifaa vingine eneo husika ndio maana linakuja suala la router na sio simu tena.
Haina chochote, wewe endelea kutumia tu iPhone 8 mkuu 😅Nina ki IPHONE 8 nyumbani hakina kazi. Hakitumiki kwa simu.
Sasa, kwa matumizi ya nyumbani
hilo router kubwa lina nini ambacho iPhone 8 ndogo haiwezi ???
Tena kusema la ukweli iPhone 8 yangu:
1. inanambia zimebaki data ngapi, router haina screen, haina keyboard, haina interaction
2. simu inapiga kazi umeme ukikatika, router inazima
3. kasimu kako portable, unaenda nako popote inapofika laptop unapiga kazi. Router huwezi kwenda nayo kijijini
4. kasimu unaweza ukakazima ukakafunga na password watoto wasiiki abuse
Hiyo router kuuuubwa, tueleze ina nini cha mno ???????