Nauza Airtel 5G SmartBox Router

Nauza Airtel 5G SmartBox Router

NILISHAWAHI KUJARIBU baada ya kuona router inazingua lakini IKANIGOMEA!!
Ulishawahi kujaribu ikakugomea, ulijaribu nini ikakugomea ??

Ulikiwa unawela data unlimted kwenye ki iPhone ikakugomea ???

Au ki iPhone chenye data kilikataa kurusha WIFI hewani ????
 
Do they freaking care ????????
Why should they care ??
I bet they care, baadae nikipata muda nita-verify! Don't forget, kwa wale wanaochukua kifurushi cha 70K/month wanatakiwa kununua router kwa 200K. That being said, routers kwao ni another business which will collapse if their sim cards work in any device!
Ulishawahi kujaribu ikakugomea, ulijaribu nini ikakugomea ??

Ulikiwa unawela data unlimted kwenye ki iPhone ikakugomea ???

Au ki iPhone chenye data kilikataa kurusha WIFI hewani ????
If I remember properly, sim card ni ama haikusoma au something like that! Hata ukitaka kununua bundle, huwezi kununua directly from your 5G simcard but simcard inabidi iwe kwenye router ndipo ununue kwa kutumia simcard ya kawaida ambayo itakuuliza 5G Line unayotaka kuinunulia bundle! This way, nilipoteza bundle ya 2 weeks kwa sababu router iliharibika wakati kifurushi nimetumia kwa 2 weeks only na sikuwa na muda wa kwenda airtel shop kwa ajili ya kuibadilisha!
 
Back
Top Bottom