I bet they care, baadae nikipata muda nita-verify! Don't forget, kwa wale wanaochukua kifurushi cha 70K/month wanatakiwa kununua router kwa 200K. That being said, routers kwao ni another business which will collapse if their sim cards work in any device!
If I remember properly, sim card ni ama haikusoma au something like that! Hata ukitaka kununua bundle, huwezi kununua directly from your 5G simcard but simcard inabidi iwe kwenye router ndipo ununue kwa kutumia simcard ya kawaida ambayo itakuuliza 5G Line unayotaka kuinunulia bundle! This way, nilipoteza bundle ya 2 weeks kwa sababu router iliharibika wakati kifurushi nimetumia kwa 2 weeks only na sikuwa na muda wa kwenda airtel shop kwa ajili ya kuibadilisha!