Pole kwa changamoto unazopitia mkuu
Ila nikuulize tu ili nielewe unahitaji fedha za kujikimu au msaada wa wateja wa asali maana naona umemix kidogo
Siyo kila I'd ni ya Nyete.Naona nyete kaamua kuja na id nyingine
sawaNgoja wadau waje
ni lita moja mkuu hiyodumu moja ndio nini si usema lita ngapi maana madumu yapo ujazo kibao na aina mbalimbali
ni lita moja mkuu hiyo
nna kitambulisho cha mjasiriamali cz mtaji ni mdogounauza bei ya supermarkets? unatoa risiti EFD na una leseni ya bishara? uza bei ya kawaida mkuu kama kweli ni mpiganaji. TABora Lita 5 ni 25,000/- sasa wewe ni 65,000/-
Dumu moja ndio kipimo gan!.sema Lita moja au Lita 5 ueleweke.
Good luck brother,
Mungu awe nawe coz unatafuta riziki ya halali.
Sio mbaya mkuu,yote maisha.Ni kama umetakunguliza kuhurumiwa, ndipo ukamalizia kwa kutangaza bidhaa/biashara
nna kitambulisho cha mjasiriamali cz mtaji ni mdogo