Nauza asali kwa Tsh 13,000 kwa dumu moja

Kama ni Asali kweli mie nitanunua Lita moja ya kujaribu ikiniridhisha nitanunua ya kutosha ingawa bei yako ipo juu nikilinganisha na wauzaji wengine
Je unafanya [emoji598] au ni mpaka mtu aje huko temeke?
 
Ni kama umetakunguliza kuhurumiwa, ndipo ukamalizia kwa kutangaza bidhaa/biashara

Ushimen, kama kumbukumbu zangu ni sahihi Ushirombo kuna asali nyingi tu. Basi fanya basi mpango niletee hapa Arusha jamaa yangu. Huku tunauziwa sukari guru kwa jina la asali.
 
Nikweli asali inapatikana kwa wingi, lakini bahati mbaya sana kule mimi binafsi ninapatikana kwa mbali sana
 
Habari zenu ndugu zanguni, nna miezi sita sasa tokea nipoteze kazi ya kuajiriwa, ndugu yenu kwa sasa napitia kipindi kigumu sana ukiangalia nna familia inayonitegemea, hali yangu kimaisha sio nzuri.

Baada ya kupoteza kazi niliamua tu kuingia kwenye biashara ndogo ndogo ili kujikwamua kimaisha , hivyo niliamua kuagiza asali kutoka nyumbani Tabora ili niuze nipate fedha ya kujikwamua kimaisha

Msaada wenu kwangu naombeni mniungishe japo nipate fedha ya kuniwezesha kuishi, maana hali yangu ni mbaya
View attachment 1129877

Ni asali Original kabisa, kutokana na garama za usafirishaji kutoka tabora hadi hapa na kifungashio nauza kwa Tsh 13,000 kwa chupa moja

Nipo temeke Wailes

Namba yangu ni 0654743480

Ni matumanini yangu nitapata msaada wenu, asanteni.
...Mkuu, hii ni mbichi ya nyuki wadogo ama ya nyuki wakubwa?
 
Nisaidie mkuu kunielewesha hv hiyo kwenye picha ni dumu au? Mana wengine lugha hizi zinatuchanganya
 
Back
Top Bottom