Nauza asali kwa Tsh 13,000 kwa dumu moja

Kama ni Asali kweli mie nitanunua Lita moja ya kujaribu ikiniridhisha nitanunua ya kutosha ingawa bei yako ipo juu nikilinganisha na wauzaji wengine
Je unafanya [emoji598] au ni mpaka mtu aje huko temeke?
 
Ni kama umetakunguliza kuhurumiwa, ndipo ukamalizia kwa kutangaza bidhaa/biashara

Ushimen, kama kumbukumbu zangu ni sahihi Ushirombo kuna asali nyingi tu. Basi fanya basi mpango niletee hapa Arusha jamaa yangu. Huku tunauziwa sukari guru kwa jina la asali.
 
Ushimen, kama kumbukumbu zangu ni sahihi Ushirombo kuna asali nyingi tu. Basi fanya basi mpango niletee hapa Arusha jamaa yangu. Huku tunauziwa sukari guru kwa jina la asali.
Nikweli asali inapatikana kwa wingi, lakini bahati mbaya sana kule mimi binafsi ninapatikana kwa mbali sana
 
...Mkuu, hii ni mbichi ya nyuki wadogo ama ya nyuki wakubwa?
 
Nisaidie mkuu kunielewesha hv hiyo kwenye picha ni dumu au? Mana wengine lugha hizi zinatuchanganya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…