Nauza asali mbichi napatikana Buguruni Sheri

Nauza asali mbichi napatikana Buguruni Sheri

Rion Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2019
Posts
623
Reaction score
691
Nauza asali mbichi napatika Dar es salaam eneo la Buguruni Sheri.

Bei yake ni
Robo lita 3000
Nusu lita 6000
Lita moja 12000
Lita 5. 55000
Lita 20. 200000

No 0746696878
CB695166-CA3C-4050-890B-BF9850B7C66F.jpeg
0539D312-23D0-4FDD-A7A1-90A594A8D13F.jpeg
 
Bei yako ni mkasi sana,

California love
 
Bei mkasi usibishe asee
Niliwai enda pale wizara ya maliasili na misitu wiki iliyopita wana asali za nyuki wadogo wanauza bei poa tu na ata mtaani asali inauzwa lita moja mpk 9 niko na mtu ana import kutoka tabora

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mali Asili lita moja wanauza tshs ngapi Mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyuki wadogo lita moja ndio 12k nyuki wakubwa 9k
Inategemea ndoo maana wengne wanauza had 15000 ila bei yake ni 12000 hyo sijawah ona la kwa wanaotembeza tena nawenyewe wanakua wamechakachua

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom