Nauza asali mbichi

Nauza asali mbichi

yassin alluy

Member
Joined
Feb 4, 2017
Posts
27
Reaction score
64
Waungwana watumiaji wa asali kwa afya, leo napenda kutoa mada ya kuitambua asali halisi au mbichi.
Zipo njia nyingi tena nyingine unaweza kuwa unazijua. Asali halisi ni nzuri kutumia kama dawa ya kuongeza nguvu za kiume, kutibu kifua, kinga baada ya kuungua na moto. kuongeza cd4, kulainisha ngozi, kutoa sumu mwilini na faida nyingine nyingi zitokanazo na asali halisi au mbichi.

Zifuatazo ni njia za kutambua asali halisi ambayo haijachakachuliwa.

1. Tumia grass nyeupe weka maji halafu mimina asali kwenye grass hiyo yenye maji. ukiona asali inaenda kuzama chini ya grass bila kuchafua maji ujue asali hiyo ni halisi.

2. Tumia gazeti kama kiu ijumaa, nipashe, habari leo, mwanaspoti kutambua asali mbichi au halisi. chukua kipande cha gazeti halafu chukua asali mwagia kwenye upande moja wa gazeti kisha pakaza asali kwa kutumia kidole ukikikandamiza kwenye gazeti halafu angalia upande wa pili wa gazeti sehemu hiyo uliyopakaza asali, Kama gazeti limelowana upande wa pili asali hiyo ni feki yaani imechanganywa na maji au kitu kingine chenye asili ya maji.

3. Tumia vumbi, chukua asali mwaga kwenye vumbi halafu angalia kama asali hiyo imetengeneza umbo la mpira kisha chukua kijiti piga huo mpira uliotengezezwa na hiyo asali baada ya kuimwaga chini, Ukiona ule mpira unahama toka sehemu ulipo na kwenda ukibiringika mpaka sehemu nyingine bila kuacha tone la asali kwenye ardhi ujue asali hiyo ni halisi.

4. Tumia mshumaa. pakaza asali kwenye upande wa utambi wa mshumaa kisha washa moto -shuo utambi ukiona mshumaa unawaka ujue asali hiyo ni halisi

Unapo hitaji asali mbichi safi na original tuone sisi maana haina haja ya kuhangaika kupima pima
Asali ya nyuki adoo lita moja......................35,000/=
Asali ya nyuki wakubwa lita moja.................15,000/=
Juisi ya asali pamoja na mauta ya kuchua.......60,000/=
Korosho kilo moja.........................................26,000/=

Namba zetu
0625 50 43 16
0712 58 31 57
0689 55 44 38 WHATSAPP

Tupo kibaha ila Dar, tunakuletea kwenye vituo vyote vya mwendokasi, unasogea mpaka kituoni utakapochagua mteja.
Ewe mtu wa mkoani unayehisi kutapeliwa nasisi utaendelea kuumia kwa uoga ambao unamadhara kwako. Tumesisitiza ambae tumemtapeli ajitokeze

11.jpg
IMG-20160821-WA000.jpg
IMG-20180126-WA0020.jpeg
IMG-20180126-WA0023.jpeg
IMG-20180126-WA0020.jpeg
 
Attachments

  • 26814772_1520882231293616_6112224995584416748_n.jpg
    26814772_1520882231293616_6112224995584416748_n.jpg
    65.7 KB · Views: 45
Asante sana kwa taarifa.

Kuna jamaa huniuzia Asali, imebidi niijaribishe kwa njia namba 1 nimekuta iko pouwa sana.

Nina uhakika natumia asali halisi nyumbani.
 
Waungwana watumiaji wa asali kwa afya, leo napenda kutoa mada ya kuitambua asali halisi au mbichi.
Zipo njia nyingi tena nyingine unaweza kuwa unazijua. Asali halisi ni nzuri kutumia kama dawa ya kuongeza nguvu za kiume, kutibu kifua, kinga baada ya kuungua na moto. kuongeza cd4, kulainisha ngozi, kutoa sumu mwilini na faida nyingine nyingi zitokanazo na asali halisi au mbichi.

Zifuatazo ni njia za kutambua asali halisi ambayo haijachakachuliwa.

1. Tumia grass nyeupe weka maji halafu mimina asali kwenye grass hiyo yenye maji. ukiona asali inaenda kuzama chini ya grass bila kuchafua maji ujue asali hiyo ni halisi.

2. Tumia gazeti kama kiu ijumaa, nipashe, habari leo, mwanaspoti kutambua asali mbichi au halisi. chukua kipande cha gazeti halafu chukua asali mwagia kwenye upande moja wa gazeti kisha pakaza asali kwa kutumia kidole ukikikandamiza kwenye gazeti halafu angalia upande wa pili wa gazeti sehemu hiyo uliyopakaza asali, Kama gazeti limelowana upande wa pili asali hiyo ni feki yaani imechanganywa na maji au kitu kingine chenye asili ya maji.

3. Tumia vumbi, chukua asali mwaga kwenye vumbi halafu angalia kama asali hiyo imetengeneza umbo la mpira kisha chukua kijiti piga huo mpira uliotengezezwa na hiyo asali baada ya kuimwaga chini, Ukiona ule mpira unahama toka sehemu ulipo na kwenda ukibiringika mpaka sehemu nyingine bila kuacha tone la asali kwenye ardhi ujue asali hiyo ni halisi.

4. Tumia mshumaa. pakaza asali kwenye upande wa utambi wa mshumaa kisha washa moto -shuo utambi ukiona mshumaa unawaka ujue asali hiyo ni halisi

Unapo hitaji asali mbichi safi na original tuone sisi maana haina haja ya kuhangaika kupima pima
Asali ya nyuki adoo lita moja......................35,000/=
Asali ya nyuki wakubwa lita moja.................15,000/=
Juisi ya asali pamoja na mauta ya kuchua.......60,000/=
Korosho kilo moja.........................................26,000/=

Namba zetu
0625 50 43 16
0712 58 31 57
0689 55 44 38 WHATSAPP

Tupo kibaha ila Dar, tunakuletea kwenye vituo vyote vya mwendokasi, unasogea mpaka kituoni utakapochagua mteja.
Ewe mtu wa mkoani unayehisi kutapeliwa nasisi utaendelea kuumia kwa uoga ambao unamadhara kwako. Tumesisitiza ambae tumemtapeli ajitokeze
11.jpg
1516514250601.jpg
images.jpg
IMG-20160821-WA000.jpg
IMG-20180126-WA0020.jpeg
IMG-20180126-WA0023.jpeg
 
naona korosho mara asali, jambo jema aisee. acha tuzitumie namba zako kwa kukutafuta
 
swali langu lipo hapo kwenye gazeti mfano ukichukua gazeti la majira, mwananchi au bingwa vipi yatafaa??
 
nimemshauri tu ila na uhakika na asali yake kutokana na maelezo mazuri aliyoitoa nitamtafuta ninunue samahani kama nimekukwaza
 
Mimi nafahamu njia hii ya kutambua asali kama haijachakachuliwa "unachukua njiti ya kiberiti unachovya kidogo kwenye asali yako,halafu unawasha njiti hiyo kwenye ganda la kiberiti(kama unataka kuwasha moto)njiti hiyo ikiwaka basi asali ni Og lakini kama hakikuwa basi inakuwa imechanganywa na kitu tofauti hasa maji".

Mumu.
 
Back
Top Bottom