SOLD: Nauza Bata Bukini wakubwa. Nipo Makongo Juu

SOLD: Nauza Bata Bukini wakubwa. Nipo Makongo Juu

Ila kuna au basi bwanaa

Wauni huwa sio washkaji kabisaa
 
Daaah huu uzi umenichekesha kwa kweli. Nime-swipe, nika-zoom lakini bata bukini sjamuona.

Dakika 2 mbele naambiwa bata washanunuliwa.

Nikashika kichwa tu.
Nani huyo kanunua bata bukini.
 
😁😄😃
20220415_144712.jpg
 
Aim: Nauza Bata
Specie: Bukini Serbié wakubwa
idadi: Wawili (dume na jike)
Price: Dume (TZS 330,000) na Jike (TZS 300,000)
Combined Price: Ukichukua wote nakuuzia kwa 600,000/=.
Location: Makongo Juu, DAR.
Mawasiliano: 0718 102033

Nota bene: Huyu Jike anataga, as of today anaatamia mayai kumi na moja (11). Ukimlipia unabeba na mayai yake. Yaani unakua umenunua Bata 12 kwabei ya mmoja.

Kama upo DAR, ukichukua Bata wote wawili naweza kukuletea ulipo nauli utanipa 20,000 tu.

PICHA ZAO:
Huyu hapa Dume
View attachment 2279051

Huyu hapa Jike
View attachment 2279052

Hapa wamepumzika pamoja.
View attachment 2279053

Hapa wanaogelea kwenye bwawa lenye niliwajengea.
View attachment 2279054

Update: SOLD SOLD SOLD
Mzee baba hao ni bata maji[emoji1787]

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
600,000 bata? uko serious kabisa, unataja kama unataja buku
 
Aim: Nauza Bata
Specie: Bukini Serbié wakubwa
idadi: Wawili (dume na jike)....
Nilianza kushangaaa kabla ya hizo picha, Yaani Bata bikini atamie mayai 11 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna mwingine huko anapandisha mbwa koko kwa laki 7..jf never boring[emoji28][emoji28][emoji28]

#MaendeleoHayanaChama
 
Aiseeh acha uongo hao ni wale bata wa kitaa..bata bukini ni msafi sana
 
Back
Top Bottom