SOLD: Nauza Bata Bukini wakubwa. Nipo Makongo Juu

Ila kuna au basi bwanaa

Wauni huwa sio washkaji kabisaa
 
Daaah huu uzi umenichekesha kwa kweli. Nime-swipe, nika-zoom lakini bata bukini sjamuona.

Dakika 2 mbele naambiwa bata washanunuliwa.

Nikashika kichwa tu.
Nani huyo kanunua bata bukini.
 
Mzee baba hao ni bata maji[emoji1787]

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
600,000 bata? uko serious kabisa, unataja kama unataja buku
 
Aim: Nauza Bata
Specie: Bukini Serbié wakubwa
idadi: Wawili (dume na jike)....
Nilianza kushangaaa kabla ya hizo picha, Yaani Bata bikini atamie mayai 11 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna mwingine huko anapandisha mbwa koko kwa laki 7..jf never boring[emoji28][emoji28][emoji28]

#MaendeleoHayanaChama
 
Aiseeh acha uongo hao ni wale bata wa kitaa..bata bukini ni msafi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…