Steve96
JF-Expert Member
- Aug 11, 2022
- 5,863
- 957
- Thread starter
- #21
THANKS MKUBWAMwamba unafaa kuwa kitengo Cha ubunifu na mauzo. Hii picha haijakosewa kupigwa,kila kitu ni stori. Na kupitia huyo mdada watu wengi watautazama huu uzi,then boom! Mteja wa TV atapatikana humo humo.
Bei ya tv ni affordable kabisa. Nchi 55 second hand/used Mara nyingi price tag zinaanzia 900k.