THANKS MKUBWAMwamba unafaa kuwa kitengo Cha ubunifu na mauzo. Hii picha haijakosewa kupigwa,kila kitu ni stori. Na kupitia huyo mdada watu wengi watautazama huu uzi,then boom! Mteja wa TV atapatikana humo humo.
Bei ya tv ni affordable kabisa. Nchi 55 second hand/used Mara nyingi price tag zinaanzia 900k.
ubunifu wa hali ya juu mnoMwamba unafaa kuwa kitengo Cha ubunifu na mauzo. Hii picha haijakosewa kupigwa,kila kitu ni stori. Na kupitia huyo mdada watu wengi watautazama huu uzi,then boom! Mteja wa TV atapatikana humo humo.
Bei ya tv ni affordable kabisa. Nchi 55 second hand/used Mara nyingi price tag zinaanzia 900k.
Chukua tv boss,Bei ni nzuri kabisa.ubunifu wa hali ya juu mno
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimeidownload chap kwa matumizi yangu kabla mods hawajafanya yao