Nauza chainsaw

Nauza chainsaw

HUSQVARNA upatikanaji wake wa vifaa ni rahisi lakini:

•Je, umewahi shusha Engine? Mara ngapi? Ulibadilisha nini?

•Mnyororo bado una makali au ni wa kubadilisha?

•Oil inavuja, au haivuji?

•Brake yake iko vizuri?
Haijawai hata kufunguliwa chochote kile ilisafishia shamba Tu
 
HUSQVARNA upatikanaji wake wa vifaa ni rahisi lakini:

•Je, umewahi shusha Engine? Mara ngapi? Ulibadilisha nini?

•Mnyororo bado una makali au ni wa kubadilisha?

•Oil inavuja, au haivuji?

•Brake yake iko vizuri?
Haijawai kushushwa engine
Mnyororo bado uko imara
Haivujishi kokote pale
Brake Yake iko vizuri
1.5M Mbona ni bei ya mpya?
Unamasihara tajiri hizo mashine mpya NI 2m na pengine NI Million 1 na laki Tisa na hamaini
 
[QUOTE="mama nancy,

Unamasihara tajiri hizo mashine mpya NI 2m na pengine NI Million 1 na laki Tisa na hamaini
[/QUOTE]Sikuwa na lengo hilo Mkuu, nimeuliza hivyo sababu kuna mkenya alikuwa anauza aina hiyohiyo kwa 1.5m pale boda ya Tarakea.
 
Back
Top Bottom