BANGO JEUPE
JF-Expert Member
- Nov 21, 2015
- 3,079
- 2,152
- Thread starter
- #21
Ukihitaji futi 20 nipe oda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi hatuhusiki na usafirishaji nduguKama nipo mkoan gharama kusafirisha inakwaje na kama ni Mimi kwa makadilio katav litafika kwa tsh ngapi
Container zipo za kutosha
Sawa ndugu Asante kwa kunikumbushaAlafu lazima uwaeleweshe wateja wako kuwa kuna contena ndefu high que na low ili MTU ajue kulingana na mahitaji
Hizo sina nduguMkuu Bango! Nitumie sample ya contena za futi 20,,,then nipe bei ya mwisho kwa kila kontena nahitaji moja mkuu
Hizo sina ndugu
Nitapata wapi?
Ndugu kwa sasa sina ya kubebea mizigo labda kama unataka ya kuhifadhia vitu yaani kama stoo