Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu kuna moja jamaa anauza ila alikua anahifadhia vifaa vya welding na lina kutu nyingi ila bei yake ndo iko juu anataka mil 2.5 TZSNahitaji kwa ajili ya store tu..kama ipo nitumie sample niicheki mpaka ndani
Ndugu kuna moja jamaa anauza ila alikua anahifadhia vifaa vya welding na lina kutu nyingi ila bei yake ndo iko juu anataka mil 2.5 TZS
Kweli ndugu ubora wake ni mdogo limetumika sanaBei kubwa sana na isitoshe linakutu nyingi
Zangu ni High que jamaniAlafu lazima uwaeleweshe wateja wako kuwa kuna contena ndefu high que na low ili MTU ajue kulingana na mahitaji