sunny360
New Member
- Aug 23, 2026
- 1
- 1
CONTAINERS 4 ZA 20FT ZINAZUUZWA — DAR ES SALAAM
Nauza containers 4 za futi 20 (20FT) zilizopo Dar es Salaam.
- Ziko kwenye hali nzuri
- Zinafaa kwa storage, biashara, warehouse na matumizi mbalimbali
- Zinapatikana Dar es Salaam
- Zinauzwa moja moja au zote 4 kwa pamoja
Bei inazungumzika kwa mteja serious.
Location: Dar es Salaam
📞 Mawasiliano: 0747 979 020
Picha halisi zipo — kwa anayehitaji picha zaidi au kuja kuziona, wasiliana nami.
Mteja serious tu.