Nauza crown athlets

Nauza crown athlets

Jr Magwila

Member
Joined
Oct 31, 2017
Posts
11
Reaction score
6
New model ml 25. Naitaji wateja sio madalali
IMG-20190205-WA0056.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hiki sindo chuma chako unacho kiwinda?

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Mkuu mambo yamebana acha niendeshe chuma langu carina T.I
Mipango ikitulia mwaka huu ntavuta hiyo mashine
 
Sema toyota wanabana sana spidi kila gari ni 180 labda ununue ya ulaya unakuta spidi 240 i.e Subaru Forester STi
 
Manual transmission hiyoo mkuu sometimes magari yanafanya watu kuwa machizi barabarani ebu fikiria una mashine kama hiyo unatoka moshi unaenda arusha
Tunaweza kuokota mtu akiwa hajitambui aiseee ila Dar kwenda Arusha kwa mashine kama hio ni raha sana aiseee unamaliza kisahahi chote aisee ila wajerumani wanapends sana speed gari za kijerumani BMW,Audi,VW na Benz ni standard feature kua na spidi 260
 
Back
Top Bottom