kauzu mimi
Member
- May 30, 2023
- 8
- 3
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nafikiri ni wale dagaa kwa ajili ya mifugo wamechanganyikana na vumbi la dagaaNi dagaa wa mwanza mkuu? Huku niopo ndoo ndogo ni 22,000 kubwa 36,000/= na ni ziwani huku hii imekaaje? Ama ume download mkuu
Kubwa kg 4 au kg2Hiyo ndoo yako ina kilo ngapi?ukipima.
Kama una nia na manunizi nipe location yako nikupe sample then we talk.Mkuu nafikiri ni wale dagaa kwa ajili ya mifugo wamechanganyikana na vumbi la dagaa
Ni dagaa wa mwanza ndio na kuhusu bei inategemea umenunu wap mkuu.Ni dagaa wa mwanza mkuu? Huku niopo ndoo ndogo ni 22,000 kubwa 36,000/= na ni ziwani huku hii imekaaje? Ama ume download mkuu
Ndogo kg2 na kubwa kg4.Kubwa kg 4 au kg2
Exactly itakuwa hivyo mkuuMkuu nafikiri ni wale dagaa kwa ajili ya mifugo wamechanganyikana na vumbi la dagaa
Ni dagaa wa mwanza ndio na kuhusu bei inategemea umenunu wap mkuu.
Ni kwl mkuu ni bei sana kote ila ni stock inayoishia kwa iyo bei.Huku Kwa Sasa ana bei sana mkuu