Nauza dagaa nyama nono fresh kutoka Mwanza

beautifulonyinye

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2015
Posts
728
Reaction score
481
Habarini zenu wakuu, karibuni mjipatie dagaa safi wa kukaanga kutoka Mwanza,
Wana viungo vya kutosha, watamu sana, wana radha ya kipekee.

Tunapatikana Dar_ Ubungo, delivery zipo popote unaletewa, tunauza kwa jumla na rejareja.

Bei zetu ni rafiki sana, package zetu zinaanzia tsh 3,000 na kuendelea kwa rejareja, na kwa jumla tunaanzia kg 1 tsh 10,000, SADO tsh 22000, ndoo Ndogo 60,000 na ndoo kubwa 95,000.

Lakini pia tunauza sato fresh kabisa kutoka ziwani wanasafirishwa kwa ndege lakini ni kwa order maalumu ,ukiagiza leo unapata kesho mapema waliotoka kuvuliwa. Karibu uweke order yako.

Lakini hatujaishia hapo wale wapenzi wa vibambala hatujawasahau, vibambala vipo ila ni kwa order pia.
Bei zetu ni rafiki sana elf 12,000 na kuendelea unapata radha ya kipekee na unaenjoy na familia yako.

KARIBUNI SANA
mawasiliano piga/whatsapp : 0746095663
0712772975


View attachment 2680892
 
Nahitaji hao dagaa wanono nakupataje wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…