beautifulonyinye
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 728
- 481
- Thread starter
- #21
Kg 12000Sato unawauzaje kwa Kilo? Hao wakavu nilidhani VITOGA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kg 12000Sato unawauzaje kwa Kilo? Hao wakavu nilidhani VITOGA
Nimeshaweka mkuuHujaweka mawasiliano ya ofisi sasa!
Nishatuma mkuuTuma namba PM nataka package za kutosha
Mambo si ndio haya sasaDagaa hawa View attachment 2680891
Haya nipe order bossMambo si ndio haya sasa
KaribuAhsante kwa taarifa...
Asante na karibu mkuuHuyo kibambala nimemuelewa, Biashara njema mkuu.MIGUU HIYO AVATANI YAKWAKO?[emoji3][emoji3][emoji3]
Karibu sana bossTegemea simu yangu hapo kesho
Kila la kheir.Asante na karibu mkuu
Habarini zenu wakuu, karibuni mjipatie dagaa safi wa kukaanga kutoka Mwanza,
Wana viungo vya kutosha, watamu sana, wana radha ya kipekee.
Tunapatikana Dar_ Ubungo, delivery zipo popote unaletewa, tunauza kwa jumla na rejareja.
Bei zetu ni rafiki sana, package zetu zinaanzia tsh 3,000 na kuendelea kwa rejareja, na kwa jumla tunaanzia kg 1 tsh 10,000, SADO tsh 22000, ndoo Ndogo 60,000 na ndoo kubwa 95,000.
Lakini pia tunauza sato fresh kabisa kutoka ziwani wanasafirishwa kwa ndege lakini ni kwa order maalumu ,ukiagiza leo unapata kesho mapema waliotoka kuvuliwa. Karibu uweke order yako.
Lakini hatujaishia hapo wale wapenzi wa vibambala hatujawasahau, vibambala vipo ila ni kwa order pia.
Bei zetu ni rafiki sana elf 12,000 na kuendelea unapata radha ya kipekee na unaenjoy na familia yako.
KARIBUNI SANA
mawasiliano piga/whatsapp : 0746095663
0712772975