Nauza dagaa nyama (uwono) Dodoma

Nauza dagaa nyama (uwono) Dodoma

Kalamu Nzito

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2015
Posts
349
Reaction score
805
Natafuta Dalali wa bidhaa za sokoni mkoani Dodoma. Nina Dagaa nyama kutoka Tanga kilo za kutosha nahitaji kupata wanunuaji.

Mwenye namba za Dalali wa bidhaa za sokoni mkoani DODOMA anisaidie tafadhali.
 
Kiongozi samahani naweza kukuuzia hawa dagaa kutoka Tanga, nipo Tanga mjini karibu 0718755347
 
Unaweza ukaweka picha na bei pia itapendeza sana.
PXL_20240308_112426455.jpg
 
Bei huwa zinabadilika kila siku kutokana na upatikanaji wake. leo nauza 7000 kwa kilo moja
 
Back
Top Bottom