Kalamu Nzito
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 349
- 805
Kiongozi samahani naweza kukuuzia hawa dagaa kutoka Tanga, nipo Tanga mjini karibu 0718755347Natafuta Dalali wa bidhaa za sokoni mkoani Dodoma. Nina Dagaa nyama kutoka Tanga kilo za kutosha nahitaji kupata wanunuaji.
Mwenye namba za Dalali wa bidhaa za sokoni mkoani DODOMA anisaidie tafadhali.
Habari mkuu,Kiongozi samahani naweza kukuuzia hawa dagaa kutoka Tanga, nipo Tanga mjini karibu 0718755347
kwa leo ninao kama 100kg, naandaa kila siku. karibu sana kiongozi 0718755347Habari mkuu,
Unao wengi kiasi gani?
Unaweza ukaweka picha na bei pia itapendeza sanakwa leo ninao kama 100kg, naandaa kila siku. karibu sana kiongozi 0718755347
Unaweza ukaweka picha na bei pia itapendeza sana.