Nauza dagaa wa kukaanga kwa Bei ya jumla

Mzee Mchochezi

Senior Member
Joined
Apr 3, 2018
Posts
125
Reaction score
244
Wakuu salaam

Kama mada inavyojieleza

Nauza dagaa wa kukaanga kwa Bei ya jumla,ndoo kubwa elfu 60

Nipo Morogoro mjini,Kama unahitaji weka ODA yako mapema mzigo unaingia jumatatu mapema Sana

Kwa MAWASILIANO zaidi njoo PM Tafadhali
ASANTENI SANA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tushakuja PM,Mzee Mchochezi,ila naomba mama Mchochezi athletes,biashara iwe murua!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dagaa kutoka wapi?,wa ziwani au baharini?..
 
Wakuu salaam

Kama mada inavyojieleza

Nauza dagaa wa kukaanga kwa Bei ya jumla,ndoo kubwa elfu 60

Nipo Morogoro mjini,Kama unahitaji weka ODA yako mapema mzigo unaingia jumatatu mapema Sana

Kwa MAWASILIANO zaidi njoo PM Tafadhali
ASANTENI SANA

Sent using Jamii Forums mobile app
Ongeza vitu muhimu kwenye tangazo uvutie wateja. Unaweza kuwapiga picha ili uvutie zaidi wateja. Vilevile unaweza kuwaambia umewapata wapi na umewafanyia process gani.
 
Dagaa nimewafuata ziwani kwa wavuvi nimewakausha kiasi na kuwakaanga
 
Back
Top Bottom