Mzee Mchochezi
Senior Member
- Apr 3, 2018
- 125
- 244
Tushakuja PM,Mzee Mchochezi,ila naomba mama Mchochezi athletes,biashara iwe murua!Wakuu salaam
Kama mada inavyojieleza
Nauza dagaa wa kukaanga kwa Bei ya jumla,ndoo kubwa elfu 60
Nipo Morogoro mjini,Kama unahitaji weka ODA yako mapema mzigo unaingia jumatatu mapema Sana
Kwa MAWASILIANO zaidi njoo PM Tafadhali
ASANTENI SANA
Sent using Jamii Forums mobile app
Ongeza vitu muhimu kwenye tangazo uvutie wateja. Unaweza kuwapiga picha ili uvutie zaidi wateja. Vilevile unaweza kuwaambia umewapata wapi na umewafanyia process gani.Wakuu salaam
Kama mada inavyojieleza
Nauza dagaa wa kukaanga kwa Bei ya jumla,ndoo kubwa elfu 60
Nipo Morogoro mjini,Kama unahitaji weka ODA yako mapema mzigo unaingia jumatatu mapema Sana
Kwa MAWASILIANO zaidi njoo PM Tafadhali
ASANTENI SANA
Sent using Jamii Forums mobile app
Dagaa nimewafuata ziwani kwa wavuvi nimewakausha kiasi na kuwakaangaOngeza vitu muhimu kwenye tangazo uvutie wateja. Unaweza kuwapiga picha ili uvutie zaidi wateja. Vilevile unaweza kuwaambia umewapata wapi na umewafanyia process gani.