INAUZWA Nauza decorder ya DStv

INAUZWA Nauza decorder ya DStv

AfroCodes

Member
Joined
Jan 27, 2017
Posts
79
Reaction score
23
Nauza decorder ya DStv Ina remote na wire zake. Nahitaji 20,000. Ipo Kigamboni
0738 862 877
IMG_20220909_150818_646.jpg
 
Bei nzuri.

Unampa na risiti ili uhakika.

DStv nzuri
 
Kama nisipo lipia kingamuzi
local chanel napata na Hii bei ni pamoja na dish kamanda
 
Back
Top Bottom