INAUZWA Nauza deki ya home theatre aina ya panasonic

INAUZWA Nauza deki ya home theatre aina ya panasonic

Dynamics

Senior Member
Joined
Feb 2, 2024
Posts
159
Reaction score
194
Habari wadau.

Deki ipo Dar, faida nyingine ya deki hii ni kwamba inayo amplifaya ndani yake , kwa hiyo unaweza kutumia kama amplifaya na radio kwa wakati mmoja.

Bei : 130,000
Mawasiliano : +255621396850


IMG_20240203_080856.jpg
IMG_20240203_080923.jpg
IMG_20240203_080959.jpg
 
Nahitaji ila nipo mkoani mkuu, tunafanyaje?
 
Back
Top Bottom