Nauza Diagnosis tool ndogo kwa ajili ya European Cars

Nauza Diagnosis tool ndogo kwa ajili ya European Cars

Little Dreamer

Senior Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
180
Reaction score
162
Habari wakuu, Nina diagnosis scan tool aina ya LAFOCH ML-168 kwa ajili ya Magari ya Ulaya mf: BMW, Benz, Audi na Volkswagen, au gari yoyote Kama Nissan, Toyota ambayo ni imported from Europe
Kifaa hiki kinamfaa mtu kwenye gari lake binafsi ili akipata changamoto aweze kutrace tatizo mwenyewe kabla ya kupeleka kwa fundi (Kuna changamoto kwenye gari unaweza kutatua bila kumpelekea fundi na ukasevu matumizi ya pesa yasiyotarajiwa) pia kwa fundi ambaye hana bajeti ya kununua mashine kubwa itamfaa sana, ni simple kutumia
Bei take naiuza laki 2 na nusu, napatikana Dar Es Salaam, Mabibo
Mawasiliano: 0621846107 (call/text/WhatsApp)
IMG_20221206_232620.jpg
IMG_20221206_232706.jpg
IMG_20221206_232634.jpg
 
Back
Top Bottom