Loyal_Merchant
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 623
- 267
Nauza vitu tajwa katika kichwa cha habari. Vyenye sifa zifuatazo.
Display ;- 15.6 inch display
Bei yake ni Tsh 85,000.
View attachment 716930
RAM ;- DDR 3, 2GB kila moja
zipo pieces mbili, kila moja inaukubwa wa 2GB. Zote mbili zinaenda kwa elfu 40. Namaanisha zote mbili ni 4GB kwa 40,000.
View attachment 716932
Hard disk: 500 GB, western Digital.
Bei yake ni Tsh 75,000.
View attachment 716934
Karibuni wateja. Punguzo la bei lipo kwa anayehitaji apige/sms namba 0620175280.
Yeah, unaweza tu bila shida.Samahani mkuu hivi naweza kubadisha hard disk yacomputer yangu
Mkuu mbona kama unauza kwa bei halisi ya Dukani??Nauza vitu tajwa katika kichwa cha habari. Vyenye sifa zifuatazo.
Display ;- 15.6 inch display
Bei yake ni Tsh 85,000.
View attachment 716930
RAM ;- DDR 3, 2GB kila moja
zipo pieces mbili, kila moja inaukubwa wa 2GB. Zote mbili zinaenda kwa elfu 40. Namaanisha zote mbili ni 4GB kwa 40,000.
View attachment 716932
Hard disk: 500 GB, western Digital.
Bei yake ni Tsh 75,000.
View attachment 716934
Karibuni wateja. Punguzo la bei lipo kwa anayehitaji apige/sms namba 0620175280.
Samahani mkuu hivi naweza kubadisha hard disk yacomputer yangu
Mimi nataka processor![emoji53][emoji53][emoji53]
Mkuu mbona kama unauza kwa bei halisi ya Dukani??
Au Wewe ni supplier wa hivi vitu??
nina shida na kioo cha toshiba ila sijui kama kitakuwa kinaingiliana na hicho cha kwako japo nacho ni 15.6inch. Japo hii toshiba inaingiliana kioo na baadhi ya HP laptop mfano hp 450
me nataka RAM moja mkuu
Kama hutojali, nipe model number ya Toshiba yako, nami nitakuchekia kama vinaingiliana ama laa. Na kama vinaingiliana nitafungua uwanja wa biashara baina yetu, ikiwemo offer ya kukubadilishia kioo chako.
Karibu tufanye biashara.
Nina toshiba laptop mbili na zote zinahitaji vioo. nina toshiba satelite c50 a634 na toshiba satelite c55-b
UNAPATIKANA WAPI TUFANYE BUSINESS.. NAHITAJI VYOTE..Nauza vitu tajwa katika kichwa cha habari. Vyenye sifa zifuatazo.
Display ;- 15.6 inch display
Bei yake ni Tsh 85,000.
View attachment 716930
RAM ;- DDR 3, 2GB kila moja
zipo pieces mbili, kila moja inaukubwa wa 2GB. Zote mbili zinaenda kwa elfu 40. Namaanisha zote mbili ni 4GB kwa 40,000.
View attachment 716932
Hard disk: 500 GB, western Digital.
Bei yake ni Tsh 75,000.
View attachment 716934
Karibuni wateja. Punguzo la bei lipo kwa anayehitaji apige/sms namba 0620175280.
UNAPATIKANA WAPI TUFANYE BUSINESS.. NAHITAJI VYOTE..