Computer4Sale Nauza Display ya laptop, RAM, Hard disk.

Loyal_Merchant

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Posts
623
Reaction score
267
Nauza vitu tajwa katika kichwa cha habari. Vyenye sifa zifuatazo.

Display ;- 15.6 inch display
Bei yake ni Tsh 85,000.

IMG_4183.JPG

RAM ;- DDR 3, 2GB kila moja
zipo pieces mbili, kila moja inaukubwa wa 2GB. Zote mbili zinaenda kwa elfu 40. Namaanisha zote mbili ni 4GB kwa 40,000.

IMG_4184.JPG

Hard disk: 500 GB, western Digital.
Bei yake ni Tsh 75,000.

IMG_4185.JPG

Karibuni wateja. Punguzo la bei lipo kwa anayehitaji apige/sms namba 0620175280.
 
Nauza vitu tajwa katika kichwa cha habari. Vyenye sifa zifuatazo.

Display ;- 15.6 inch display
Bei yake ni Tsh 85,000.

View attachment 716930

RAM ;- DDR 3, 2GB kila moja
zipo pieces mbili, kila moja inaukubwa wa 2GB. Zote mbili zinaenda kwa elfu 40. Namaanisha zote mbili ni 4GB kwa 40,000.

View attachment 716932

Hard disk: 500 GB, western Digital.
Bei yake ni Tsh 75,000.

View attachment 716934

nina shida na kioo cha toshiba ila sijui kama kitakuwa kinaingiliana na hicho cha kwako japo nacho ni 15.6inch. Japo hii toshiba inaingiliana kioo na baadhi ya HP laptop mfano hp 450
 
Mkuu mbona kama unauza kwa bei halisi ya Dukani??
Au Wewe ni supplier wa hivi vitu??
 
Mimi nataka processor![emoji53][emoji53][emoji53]

Boss hiyo processor iliyokuwa katika hiyo motherboard ni mbovu, Haifanyi kazi vyema. Na sina processor nyingine ya ziada ambayo tunaweza fanya nayo biashara. Ila naweza kukusaidia kupata ama kukuelekeza mahala pa kupata processor.
 
Mkuu mbona kama unauza kwa bei halisi ya Dukani??
Au Wewe ni supplier wa hivi vitu??

Boss kipi hicho kati ya hivyo nimeweka kwa bei ya dukani.? Na unaposema bei ya dukani ni kwamba unamaanisha bei ya kifaa used ama kipya.? Kwa uelewa wangu kwa Tanzania hii hakuna kifaa kipya kati ya hivyo nilivyoweka hapo ju ukauziwa kwa halali, kisha kwa bei ikawa pungufu ya bei nilizoainisha. Hivyo naona bei ni reasonable kwa mtanzania wa kawaida.

Isitoshe kama upo interested na chochote kati ya hivyo nicheki kupitia hiyo namba ama PM, kwani nimeweka uwanja wa mungumzo kama unahitaji. Karibu sana.
 
nina shida na kioo cha toshiba ila sijui kama kitakuwa kinaingiliana na hicho cha kwako japo nacho ni 15.6inch. Japo hii toshiba inaingiliana kioo na baadhi ya HP laptop mfano hp 450

Kama hutojali, nipe model number ya Toshiba yako, nami nitakuchekia kama vinaingiliana ama laa. Na kama vinaingiliana nitafungua uwanja wa biashara baina yetu, ikiwemo offer ya kukubadilishia kioo chako.

Karibu tufanye biashara.
 
Nina toshiba laptop mbili na zote zinahitaji vioo. nina toshiba satelite c50 a634 na toshiba satelite c55-b
 
Ok boss, nafurahi kukuambia kwamba hiyo laptop yako ya C50 display yake ni sawa na hii niliyonayo. Karibu tufanye biashara.
 
Nauza vitu tajwa katika kichwa cha habari. Vyenye sifa zifuatazo.

Display ;- 15.6 inch display
Bei yake ni Tsh 85,000.

View attachment 716930

RAM ;- DDR 3, 2GB kila moja
zipo pieces mbili, kila moja inaukubwa wa 2GB. Zote mbili zinaenda kwa elfu 40. Namaanisha zote mbili ni 4GB kwa 40,000.

View attachment 716932

Hard disk: 500 GB, western Digital.
Bei yake ni Tsh 75,000.

View attachment 716934

Karibuni wateja. Punguzo la bei lipo kwa anayehitaji apige/sms namba 0620175280.
UNAPATIKANA WAPI TUFANYE BUSINESS.. NAHITAJI VYOTE..
 
Back
Top Bottom