Duh!sikujua kama nimeandika hivi itakuwa wakati napitia post nimeandika bila kujua nikasendVipi tena mkuu?
Dah kuna watu wagomviMimi natoa siri ya PM nimemfuata huko PM kasema million 10 bado kuna maongezi
Ili dude lote m 10 basi hakuna gari hapoDah kuna watu wagomvi
Sawa vipi tayariMkuu bei nafuu ni bei anayoweza kuimudu mtu yeyote mwenye dhamira ya kumiliki anachohitaji.
Kila LA kheriIlishauzwa tangu july 2017