Nauza Eicher bus yenye namba CVZ kwa bei nafuu

Vipi tena mkuu?
Duh!sikujua kama nimeandika hivi itakuwa wakati napitia post nimeandika bila kujua nikasend
Sikuwa hata na nia ya kuchangia zaidi y akusoma tu
 
Mbona hili tangazo hukuweka pm,weka bei kula MTU aone,kula 8 m,au kuna kautapeli kananukia hapo
 
Mbona hili tangazo hukuweka pm,weka bei kula MTU aone,kula 8 m,au kuna kautapeli kananukia hapo
Hamna utapeli mkuu, kila kitu kiko poa. Karibu.

Sent from my PGN515 using JamiiForums mobile app
 
Nawashukuru wakuu wote mliokuja PM. Gari imeshauzwa.

Sent from my PGN515 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…