Plot4Sale Nauza eneo Kibaha kwa Matias

Plot4Sale Nauza eneo Kibaha kwa Matias

eneo la ukubwa wa ekari tano.kila eka moja milioni 4.mtaa wa msangani .umbali toka morogoro road 4km
huduma zote za kijamii zipo .
eneo zuri kwa makazi,shule.ufugaji na kilimo
kwa mawasiliano zaidi pm

number za simu
 
Je limepimwa?
Lina hati?
Halina migogoro?
halina hati mkuu.hakuna mgogoro wowote.kuna mdau umu nilishamuuzia eka moja ,mwaka wa pili sasa anafurahia eneo lake,akipenda ataleta ushuuda
 
Back
Top Bottom