zwenge ndaba
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,037
- 3,598
- Thread starter
- #61
Milioni 4 kwa ekari mkuuLinaenda kwa ngapi mkuu na vipi limepimwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Milioni 4 kwa ekari mkuuLinaenda kwa ngapi mkuu na vipi limepimwa
Limepimwa mkuu au lipo kwenye mchoro wowote mkuuMilioni 4 kwa ekari mkuu
Nakuja pm mkuuNjooo PM tuyajenge Kama kipo vizuri
Lipo mkuuBado Lipo mkuu?
Mathias sehem gani??? Nyumbu, msangani, mariposa, jamaika, mbwate au wapi mzee.Lipo mkuu
Msangani mkuuMathias sehem gani??? Nyumbu, msangani, mariposa, jamaika, mbwate au wapi mzee.
Sent using Jamii Forums mobile app
eneo la ukubwa wa ekari tano.kila eka moja milioni 4.mtaa wa msangani .umbali toka morogoro road 4km
huduma zote za kijamii zipo .
eneo zuri kwa makazi,shule.ufugaji na kilimo
kwa mawasiliano zaidi pm
Sawa mkuu nakuja pmBado vipo?
Njoo pm
| . | |||
eneo la ukubwa wa ekari tano.kila eka moja milioni 4.mtaa wa msangani .umbali toka morogoro road 4km
huduma zote za kijamii zipo .
eneo zuri kwa makazi,shule.ufugaji na kilimo
kwa mawasiliano zaidi pm
[/QUOTEni nzuri kwa makazi shule ufugaji kilimo ENDELEZA MKUU
kutoka morogoro road had msangani ni km 11 huko sio nneeneo la ukubwa wa ekari tano.kila eka moja milioni 4.mtaa wa msangani .umbali toka morogoro road 4km
huduma zote za kijamii zipo .
eneo zuri kwa makazi,shule.ufugaji na kilimo
kwa mawasiliano zaidi pm
Mkuu bado hapajanunuliwawanaweka lami Sasa toka kwa Mathias mpaka msangani
mawili yalinunuliwa mkuu,Bado kwingine