zwenge ndaba
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,037
- 3,598
eneo la ukubwa wa ekari tano.kila eka moja milioni 4.mtaa wa msangani .umbali toka morogoro road 4km
huduma zote za kijamii zipo .
eneo zuri kwa makazi,shule.ufugaji na kilimo
kwa mawasiliano zaidi pm
namba nakutumia mkuunumber za simu
sawa mkuu,kingine nini unaitaji kujua ili nikujibuTangazo alijakamilika mkuu
halina hati mkuu.hakuna mgogoro wowote.kuna mdau umu nilishamuuzia eka moja ,mwaka wa pili sasa anafurahia eneo lake,akipenda ataleta ushuudaJe limepimwa?
Lina hati?
Halina migogoro?
nimekutumia mkuunumber za simu
Eneo lipo wapi hasaa, unafika juhudi?? Au mitaa ya majumba matano??nimekutumia mkuu
Ndio mkuu,nakutumia nambaVIP bei inapoa kidogo?
sawa mkuu nakuja pmEneo lipo wapi hasaa, unafika juhudi?? Au mitaa ya majumba matano??
Nipe dira vizuri bosi, au tuma namba tuulizane vizuri
Nakutumia mkuuWapi namba?