Plot4Sale Nauza eneo Kibaha kwa Matias

Bado vipo?
Njoo pm
eneo la ukubwa wa ekari tano.kila eka moja milioni 4.mtaa wa msangani .umbali toka morogoro road 4km
huduma zote za kijamii zipo .
eneo zuri kwa makazi,shule.ufugaji na kilimo
kwa mawasiliano zaidi pm
 
eneo la ukubwa wa ekari tano.kila eka moja milioni 4.mtaa wa msangani .umbali toka morogoro road 4km
huduma zote za kijamii zipo .
eneo zuri kwa makazi,shule.ufugaji na kilimo
kwa mawasiliano zaidi pm
kutoka morogoro road had msangani ni km 11 huko sio nne
 
Hizo ekari 4 bado zipo? weka picha tuone topology
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…